PICHA MBALI MBALI KATIKA IBADA NA NABII HEBRON.
[ad_1] [ad_2]
[ad_1] NABII HEBRON AKIWA NA RAIS WAKE, RAIS WA TANZANIA JAKAYA MRISHO KIKWETE. NABII HEBRON KATIKA IBADA YA MAOMBEZI. NABII HEBRON AKITOA MAPEPO NA MAJINI YALIYOWATESA WANA WA MUNGU. [ad_2]
[ad_1] BWANA YESU asifiwe ndugu mtazamaji na msikilizaji, karibu tena kwenye kipindi cha Mtume na Nabii Hebron. Siku ya leo nitakwenda kufundisha somo kuhusu”mtumishi ni nani na mnyang’anyi ni nani “. Kwanini YESU alisema watokeao nje ni...
[ad_1] Watoto wa MUNGU jambo lingine ambalo nitakuja kuongea katika kitu kinachoitwa Christmas tree ni nini na asili yake ni nini. Napenda kukuuliza kwanza ndugu msikilizaji, Biblia imeandika Christmas tree? Christmas ni nini? Christmas ni...
[ad_1] Nabii Hebron: BWANA YESU asifiwe, ndugu mtazamaji na mtazamaji na mtoto wa MUNGU na mwanadamu uliyeumbwa na MUNGU, siku ya leo ninayo habari njema ambayo ninakuletea kwa njia ya shuhuda ambayo ni mtoto ambaye aliyekuwa kuzimu na...
[ad_1] Somo hili nimeamua kulitoa wazi wazi ili watu mpone imani zenu sababu wapo watumishi ambao kwa majina kama nabii, mchungaji, mwalimu, mwinjilisti, mtume na wana makanisa na wanatumia jina la YESU vile vile lakini watu hamjaweza kuelewa ni...
[ad_1] Kila mtu anampenda MUNGU na watu waliosikia habari za YESU na kila anachokitaka kifuatwe ili uwe wakristo watu hupenda. Ila shetani amewateka watu akishirikiana na mpinga kristo, sababu anajua ubatizo ni point muhimu sana ya kufanya mtu...
[ad_1] Nawasalimu kwa jina la YESU WA NAZARETI aliye hai na aliye ndiye kweli milele, leo nawafundisha na kuifichua uovu wa wachungaji ambao wanawabatiza watu kwa majina yao. Swali la kwanza ndugu msomaji soma biblia yote, haijaruhusu watu...
[ad_1] Ubatizo huu unaofanya watu wengi waone wamebatizwa yaani kuzamishwa kama vile YESU alivyoamuru lakini matokeo yake ni feki bado mtu anakuwa hajabatizwa kabisa, sababu ya kwanza maji hayatembei (siyo kijito cha utakaso) na pili hairuhusiwi...
[ad_1] Ubatizo huu ni agano la kikombe cha shetani, ubatizo huu ni kifungo cha kuwapeleka watu kwa sheyani, kivipi? Fuatilia Makala ya Nabii Hebron na somo hili pia. Neno ubatizo maana yake (baptize) ni kuzamisha. Na inavyoitwa ni ubatizo wa...
[ad_1] Ufunuo wa Yohana 20:1-3 “1kisha nikaona malaika akishuka kutoka mbinguni, mwenye ufunguo wa kuzimu, na mnyororo mkubwa mkononi mwake. 2Akamshika yule joka, yule nyoka wa zamani, ambaye ni Ibilisi na shetani, akamfunga miaka elfu. 3Akamtupa...