IBADA YA NABII HEBRON ITARUSHWA LIVE KILA SIKU ZA JUMAPILI
[ad_1] BWANA YESU ASIFIWE WATU WOTE WA MATAIFA YOTE. TUNAFURAHA YA KUWATANGAZIA KUWA KUANZIA KESHO TAREHE 21.10.2018 NA KILA SIKU ZA JUMAPILI IBADA YA KANISA LA YESU NI BWANA NA MWOKOZI WA MATAIFA YOTE LINALOONGOZWA NA MTUME NA NABII HEBRON...