PICHA ZA KANISANI. WAUMINI KATIKA IBADA WALISAFISHWA HEKALU KWA MAOMBI.

PICHA ZA KANISANI. WAUMINI KATIKA IBADA WALISAFISHWA HEKALU KWA MAOMBI.

[ad_1]

MAMA HUYU ALIKUWA HATEMBEI KWA MUDA WA MIAKA MIWILI, MGUU WA KUSHOTO ULIKUWA NA MATATIZO. ALIPONYWA NA KUTEMBEA HAPO HAPO.

SASA ANATEMBEA, ANAMSHUKURU YESU MBELE YA NABII BAADA YA KUFUNGULIWA MGUU.

ALIYEKAA ALIRUDISHWA KUTOKA INDIA BAADA YA MADAKTARI KUSHINDWA KUMTIBU. ALILETWA AKIBEBWA.

NABII AKIONGEA NA MZEE ALIYEPELEKWA INDIA, IKASHINDIKANA KUTIBIWA AKARUDI. AMEPONYWA CANCER NA MOYO. SASA NI MZIMA.

MZEE AKISHIKA TUMBO LAKE NA KUJIKAGUA. AMEONA UVIMBE WAKE WA CANCER UMEONDOKA.

WAKIKUMBATIANA NA MKE WAKE KWA FURAHA YA KUPONYWA NA KUFUNGULIWA.

APONYWA UVIMBE KATIKA TUMBO UPANDE WA KUSHOTO HAPO HAPO.

MZEE WA KIMASAI ALIPONYWA MACHO, YALIKUWA HAYAONI. NA PIA JOINT ZA KIUNO ZILIKUWA ZIMESAGIKA. ALIOMBEWA NA KUPONA HAPO HAPO NA KUSIMAMA.

WAGONJWA WALIOLETWA KUTOKEA WARD WALIOMBEWA NA KUPONA. WAUMINI WOTE WALITAKASWA HEKALU LA ROHO MTAKATIFU KATIKA MIILI YAO. WENGI WALITOA SHUHUDA YA KUFUNGULIWA NA KUPONA MIILI YAO. KUPATA MAGARI, MIFUGO, MITAJI, NDOA, VYEO, WALIOKUWA TASA WALILETA WATOTO KIMWILI BAADA YA KUOMBEWA NA NABII HEBRON. NA MENGINEYO MENGI YALITENDEKA KWA JINA LA YESU WA NAZARETI.
WALE WOTE WALIOKUJA KUOMBEWA KIPINDI CHA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA NA VITONGOJI KUPITIA VYAMA MBALI MBALI , TOKA SEHEMU MBALI MBALI KATIKA NCHI YA TANZANIA. BAADA YA NABII KUWAWEKEA MIKONO NA KUWAOMBEA WALISHINDA UCHAGUZI WOTE, IKIWEMO PAMOJA NA WAJUMBE WA SERIKALI ZA MITAA KABLA YA UCHAGUZI HUO.

[ad_2]