PICHA MAALUM KATIKA KANISA LA YESU NI BWANA NA MWOKOZI WA MATAIFA YOTE!
[ad_1] [ad_2]
[ad_1] Nawasalimu kwa jina la mwenyezi MUNGU, MUNGU aliyeumba mbingu na ulimwengu na ndiye MUNGU aliumba watu kwa mfano wake, MUNGU asiye na dini, MUNGU wa watu wote. Napenda kuwajulisha kuwa nchi hii ya Tanzania imechaguliwa na MUNGU na ndio...
[ad_1] MATHAYO 24: 4-5, 22-28 BWANA YESU ASIFIWE, watoto wa MUNGU, YESU WA NAZARETI anawapenda sana na amenituma niwafundishe kuhusu ukweli wake na kuwaonyesha njia ipasavyo ambaye yeye peke yake ndio njia ya kweli na mtu akifuata njia nyingine...
[ad_1] Katika ulimwengu huu, tunajua kabisa asili ya msalaba ilitumiwa zamani hizo katika uyahudi na misri pale mtu anapokosea atauliwa na katika kumuua mtu kitu kilichotumika ni msalaba, sasa hata YESU WA NAZARETI alipokufa pale msalabani au...
[ad_1] BWANA YESU asifiwe, kama kawaida naendeleza kusema ukweli kama alivyonituma YESU WA NAZARETI, mumrejee yeye na neno lake wala usidanganyike na watu ambao tayari hata kimwili wanaonekana wameotea au ni vipofu na hata hao wanaowaongoza...
[ad_1] Pepo imani linaitwa pepo imani sababu imani hii ni yeye ndiye muasisi, pepo huyu hutoka kuzimu katika serikali ya joka kuu. Kama vile MUNGU mbinguni alivyo na utatu mtakatifu, hivyo hivyo na shetani anao utatu mchafu. Nitaelezea katika...
[ad_1] Watoto wa MUNGU aliye hai nawasalimu katika jina la YESU WA NAZARETI aliye hai na mwenye imani mmoja tu iliyo hai ambayo asili ya imani yake ameipata kutoka kwa MUNGU aliye ndiye BABA yake na pia YESU huyu ndiye BABA yangu pia mimi Hebron...
[ad_1] Leo tena ni shule nyingine ambayo napenda kufundisha juu ya nini kitatokea baada ya mwana kondoo wa MUNGU aliye hai atakaohukumu ulimwengu katika mara ya pili ya ujio wake akiwa pamoja na wale watakatifu waliopo mbinguni 144,000. Sasa...
[ad_1] Ufunuo 20:7-15 Maana ya unyakuo wa shetani hii inakuwa ni kinyume chake, badala ya kunyakuliwa ni kudondoshwa kuzimu katika ziwa la moto, katika tendo hili litatokea baada ya vita vya Gogu na magogu kutokea ambayo vitakuwa ni vita ambavyo...
[ad_1] Nawasalimu watu wote wa mataifa yote kwa jina la YESU WA NAZARETI aliye hai na yupo mbinguni anasubiri tu siku na muda aruhusiwe kuja kuwanyakua wale walio wake awapeleke wakakae mahali alipo yeye kwa muda wa miaka saba ndipo arudi atawale...
[ad_1] Ø KUPITIA KAPU LA SADAKA LA MAMA MCHUNGAJI Ø KUPITIA KAPU LA SADAKA LA BABA MCHUNGAJI Nawasalimu kwa jina la YESU KRISTO WA NAZARETI aliye mwana wa pekee wa MUNGU na ni mtakatifu wala siyo mnyang’anyi. Siku ya leo nawafungua watu ufahamu...
[ad_1] Enyi wanadamu wote wa mataifa yote, siku hii tena ya leo nitaendelea kuwafundisha kuhusu upendo wake YESU kwa watu wote watakaomrejea yeye. Amenituma mimi Hebron niwaeleze ukweli na niwaonyeshe njia ya kweli ya kwenda mbinguni...