MAKANISA MENGI YAMEKUWA NI BAR ZA POMBE NA WAHUDUMU WAKE NI BAR MAID TENA WANATUMIA BIBLIA NA JINA LA YESU KUHALALISHA KUMCHAFUA YESU KUWA YEYE NI MTENGENEZAJI WA POMBE!!!
[ad_1] JE YESU ALITENGENEZA POMBE? SOMA UJUE UKWELI SASA. Watu wote mataifa yote nawasalimu kwa jina la YESU KRISTO WA NAZARETI aliye ndiye mwana wa pekee wa MUNGU aliye hai na aliyempendeza MUNGU kuliko watoto wake wote aliowaumba MUNGU, na pia...