JE UNAJUA KUWA MTUMISHI YEYOTE AKIVAA KOFIA YA KIASKOFU, KICHUNGAJI, ANAKUWA NI ADUI WA MUNGU.
[ad_1] BWANA YESU asifiwe, kama kawaida naendeleza kusema ukweli kama alivyonituma YESU WA NAZARETI, mumrejee yeye na neno lake wala usidanganyike na watu ambao tayari hata kimwili wanaonekana wameotea au ni vipofu na hata hao wanaowaongoza...