[ad_1]
MAMA HUYU ALIKUWA ANASUMBULIWA NA UGONJWA WA CANCER NA ALIKUWA HAONI VIZURI. LAKINI BAADA YA KUOMBEWA NA NABII ALIPOKEA UPONYAJI PAPO HAPO.
APOSTLE SOPHIA (DORCAS) MDEE AKIOMBEA WATOTO.
NABII AKIMFUNGUA MAMA KATIKA VIFUNGO VYA SHETANI.
NABII AKIKAUSHA CANCER KWA JINA LA YESU NA ILIPONA HAPO HAPO. SASA MAMA HUYU YUPO HURU.
KIJANA APONYWA UGONJWA WA MOYO ULIYOMSUMBUA KWA MIAKA MINGI HAPO HAPO BAADA YA KUSHIKWA NA NABII.
BINTI ATOLEWA KUZIMU NA KUTENGWA NA WACHAWI.
KIJANA HUYU KUTOKA TANGA ALIKUWA ANASUMBULIWA NA MIKONO, MGONGO NA PARALYSE. BAADA YA MAMA YAKE KUMPELEKA HOSPITALI HUKO TANGA NA KUONA HAKUNA MABADILIKO WAKAMLETA KWA NABII HEBRON, NA BAADA YA KUOMBEWA NA NABII, NA KUMKIRI BWANA YESU KAMA MWOKOZI WA MAISHA YAKE ALIPOKEA UPONYAJI.
WATU WAKIPITA MBELE YA NABII, NA KILA ALIYEPITA ALIFUNGULIWA, MWENYE MAPEPO YALITOKA, MWENYE MAGONJWA YALITOKA, NA MATESO YOTE YALIONDOKA KWA KILA MOJA KAMA INAVYOONEKANA HAPO.
NABII ALIWAFUNGUA WATU KUTOKA KATIKA VIFUNGO VYA SHETANI MFANO KUTOLEWA KUZIMU, KUFUNGULIWA MAISHA YALIYOFUNGWA NA WACHAWI NA SHETANI.
MA MIA YA WATU WALIPOKEA MUUJIZA PALE WALIPOPITA MAHALI ALIPOPAKANYAGA NABII HEBRON.
WENYE NGUVU ZA GIZA WALIPOKANYAGA MAHALI ALIPOKANYAGA NABII MAPEPO YALITOKA NA WENGI WALIPONYWA MAGONJWA NA KUBARIKIWA NA YESU PALE WALIPOKANYAGA MAHALI ALIPO PAKANYAGA MTUME NA NABII HEBRON.
[ad_2]