WAIMBAJI WA MUZIKI YA INJILI WENGI WAO SASA HIVI NI WATUMIAJI WA COCAINE, BANGI, WACHAWI, WALEVI, WAFISADI.
[ad_1] Ni jambo la aibu kwa waimbaji wa miziki ya injili, wanalitumia jina la YESU kulichafua kwa matendo yao ambayo hayaendani hata na nyimbo wanazoimba na kumtaja YESU na walijifanya wanaeneza injili. Nawaeleza watu wote katika ulimwengu wote...