[ad_1]
MTUME NA NABII HEBRON WILSON KISAMO.
APOSTLE SOPHIA (DORCAS) MDEE.
LAZARO ALIKUWA ANAUMWA NA MIFUPA, MGONGO NA KIFUA KWA MIAKA MINGI, ALIPONA HAPO HAPO.
MAMA ALIKUWA HAONI, ANAONA GIZA TU, ALIOMBEWA NA AKAONA MWANGA.
AFURAHIA SASA ANAONA, HASHIKWI MKONO TENA.
KIJANA HUYU AREJESHWA KUTOKA MSUKULE.
NABII AKIWAOMBEA WATOTO.
MCHUNGAJI DORCAS AKIFUNDISHA.
BINTI HUYU ALIKUWA ANASUMBULIWA NA MOYO, MIGUU NA KIUNO KWA MUDA WA MIAKA MIWILI. ALIPONA HAPO HAPO.
APONYWA MIGUU INAYOVIMBA HAPO HAPO.
APONYWA TATIZO LA MOYO NA ALIKUWA ANAHEMA KWA SHIDA KWA MUDA MREFU. ILISHINDIKANA KUPONYWA HOSPITALINI NA DAWA HAZIKUFANYA KAZI. APONA HAPO HAPO BAADA YA KUOMBEWA NA NABII.
SASA AONDOKA NA FURAHA NA KUMSHUKURU MUNGU.
MZEE KUTOKA MACHAME ALIKUWA NA TATIZO LA KOO KUZIBA NA KUTOPITISHA CHAKULA NI MAJI TU KIDOGO. ALIFUNGULIWA KOO NA KUWEKWA HURU.
AMEKUWA HURU SASA.
WENGI WALIPONYWA, KUPATA KAZI, KUPANDISHWA VYEO, KUPONYWA MAGONJWA YASIYOELEZEKA. NDOA KUPONYWA, KUKAUKA MAJIPU SUGU, MAGONJWA YA MOYO, MIFUPA, MACHO NA MENGINEYO MENGI KWA UWEZO WA YESU WA NAZARETI, KUPITIA SHUHUDA ZAO.
NA WATU KUTOKA NCHI MBALI MBALI WALIPONYWA PIA.
[ad_2]