PICHA MBALI MBALI KATIKA IBADA YA SIKU YA BWANA 18.01.2015 NA 25.01.2015

PICHA MBALI MBALI KATIKA IBADA YA SIKU YA BWANA 18.01.2015 NA 25.01.2015

[ad_1]

WANA WA MUNGU WAKISIKILIZA NA KUFURAHIA MAFUNDISHO YA NABII KATIKA IBADA.

                                     

MTOTO HUYO ALIREJESHWA NA KUWEKWA HURU. KAZI YAKE ILIKUWA NI KUFUKUA MAITI KIMWILI KATIKA MAKABURI HAPA DUNIANI.

NABII AKIWAOMBEA WANA WA MUNGU WA KILA RIKA. WAGONJWA NA WENYE SHIDA MBALI MBALI.

SIGIRI KUTOKA SIMANJIRO ALILETWA AKIWA KICHAA.

MAMA HUYU ALIPONYWA FIGO ILIYOMSUMBUA MUDA MREFU NA KUVIMBA MWILI.

BIBI ALIYEKUWA HAONI SASA AONA.

NI MIUJIZA MINGI ILITENDEKA SIKU HIYO. IKIWEMO KUPONYWA CANCER, MAGONJWA YA MOYO, KISUKARI, MAGONJWA YASIYOTIBIKA, KUTOKWA DAMU. KUFUNGULIWA BARAKA ZA KAZI, KUREJESHEWA NYOTA NA VIBALI NA KUINULIWA. 
KUTOLEWA KUZIMU, NA KUFUNDISHWA NENO.
WENGI WAMEPATA MAGARI, NYUMBA, KAZI, NDOA ZIMEPONYWA, WENYE KESI ZIMEFUTWA. VYEO, BIASHARA ZAO ZIMEINUKA NA MENGINE MENGI WAUMINI WAMETENDEWA NA SASA WANAMFURAHIA YESU WA NAZARETI.

[ad_2]