[ad_1]
MTUME NA NABII HEBRON WILSON KISAMO NA MKE WAKE MRS NANCY HEBRON KISAMO.
APONYWA KIFUA NA KICHWA KILICHO SHINDIKANA KATIKA HOSPITALI
NABII AWAOMBEA WATOTO, WENGI WALIKUWA HAWANA AKILI DARASANI, HAWALI CHAKULA, WANASUMBUA USIKU, SASA WOTE WAPO HURU.
WAUMINI WAKIPITA MBELE YA NABII NA KUWABARIKI KATIKA MAISHA YAO NA KUYAONDOA MATESO KWA KUWAKAGUA MOJA MOJA.
MAMA AREJESHEWA NYOTA, SURA NA KUPONYWA KIFUA KILICHOMSUMBUA KWA MIAKA MIWILI BILA KUPONA MAHOSPITALINI NA KATIKA MAOMBI SEHEMU MBALI MBALI.
BINTI HUYU ALIPONYWA UTI WA MGONGO ULIOSAGIKA PAMOJA NA KICHWA CHAKE KILIKUWA KINAWAKA MOTO. ALIZUNGUKA KATIKA HOSPITALI YA MOUNT MERU, SELIANI NA KATIKA MAOMBI MBALI MBALI. ALIPONYWA HAPO HAPO NA KUONDOKA KWA FURAHA KATIKA SIKU YA IBADA YA MAJIBU.
SASA AMTUKUZA YESU AKIJIKAGUA MWILI WAKE UPO MWEPESI, MAGONJWA YOTE YAMETOWEKA.
APONYWA STROKE, NYOTA KUREJESHEWA NA MAISHA YAKE KUFUNGULIWA NA BARAKA ZA KAZI ZAKE ALIZOPOKEA NA SASA AMETOA USHUHUDA YUPO NJEMA.
BIBI HUYU ALIPONYWA MACHO ALIKUWA HAONI SASA ANAONA.
ANAMTUKUZA YESU SASA ANAONA.
KIJANA HUYU NDANI YA MWILI WAKE ALIKUWA ANAISHI FISI NA NYOKA NA TUMBO LAKE LILIKUWA NI GUMU KAMA JIWE. ALIFUNGULIWA NA FISI WA KIPEPO AKATOLEWA KATIKA TUMBO LAKE.
AKILIA MLIO WA FISI KABLA YA KUTOLEWA TUMBONI MWAKE.
PASTOR SOPHIA (DORCAS) MDEE AKIFUNDISHA.
NABII NA MTUME HEBRON AKIFUNDISHA.
KATIKA IBADA HIYO WATU WALITOLEWA KATIKA MAPITO YA SHETANI NA KULETWA KWA YESU. WALIOLETWA NA MACHELA KUTOKA HOSPITALI WALIPONA WOTE. WALIBARIKIWA BARAKA ZA ROHONI NA MWILINI.
NDOA ZILIPONYWA, WATU WALIPANDISHWA VYEO, REJESHEWA NEEMA YAO ZA KIMWILI KATIKA MAISHA YAO.
[ad_2]