[ad_1]
HEBRON’S FAMILY
NABII HEBRON AKIONGEA NA MMOJA WA DRIVER GUIDE ALIYEFANYA NAYE KATIKA FIELD HIYO KABLA YA KUITWA NA YESU.
NGORONGORO CRATER VIEW.
BAADHI YA MAENEO HAYA YESU ALIKUWA AKISEMA NA HEBRON AKIWA KATIKA FIELD YA TOURISM KABLA YA KUPEWA KIPAJI CHA NABII. YESU ALIKUWA ANASEMA NA HEBRON AKIWA ANAENDESHA WAGENI WA MATAIFA MBALI MBALI, HATA WAKATI MWINGINE MALAIKA GABRIEL NA MIKAELI WALITUMWA KWAKE AKIWA ANAWAENDESHA WAGENI WA MATAIFA MBALI MBALI KUSEMA NAYE BILA WAO KUELEWA WALA KUTAMBUA KINACHOENDELEA. NI YEYE PEKE YAKE NDIYE ALIKUWA NA UWEZO KUWAONA NA KUWASIKIA.
YESU ALIKUWA AKIKAA NAYE KWENYE GARI AKIMWELEZA KUWA ANATAKA AFANYE KAZI YAKE NA MUDA ITAKAPOFIKA AKAACHA KAZI YA DRIVER GUIDE NA KWENDA KUFANYA KAZI YA YESU. KIPINDI HICHO ILIKUWA VIGUMU KWAKE HEBRON KUMWELEWA YESU KWA KUWA MAMBO HAYO YALIKUWA MAGUMU NA MAGENI KWAKE NA HATA ALIPOTAKA KUMWAMBIA MTU KINYWA CHAKE KILIFUNGWA MPAKA SASA NDIO AMEPATA KIBALI CHA KUYAELEZA HAYA, NA KISHA ALIKUBALI KUMTII YESU NA NDIYO SASA MATAIFA WANAYAONA MATUNDA YA KAZI YA YESU NA INJILI YA KWELI.
WATU WANAWEKWA HURU, KUFUNGULIWA, KUOMBEWA NA KUPATA HUDUMA BURE BILA MALIPO YOYOTE KWA UTUKUFU WA MUNGU.
UFALME WA SHETANI UMEBOMOLEWA HAPA DUNIANI. HAYA YOTE YAMETOKEA KATIKA KANISA LA YESU NI BWANA NA MWOKOZI WA MATAIFA YOTE.
SIKU MOJA WAKATI ANAENDESHA WAGENI SERENGETI MAWE YA MASAI. WALIKUTA SIMBA AMEUA, WAGENI WALIFURAHIA NA KUMTIZAMA SIMBA KWA MUDA MREFU HADI WAKAAMUA KULA LUNCH YAO KWENYE GARI. YESU PIA ALIKUWEPO KWENYE GARI AKISEMA NA HEBRON, AKIMWANGALIA HUYO SIMBA NA KUMTUKUZA MUNGU KWA UUMBAJI WAKE, JAPO ALIKUWA ANAMWELEZA HEBRON KUWA ANASIKITIKA BAADHI YA WANADAMU WAMEUHARIBU UUMBAJI WA MUNGU. WAKIENDELEA KUWAANGALIA WANYAMA SIKU HIYO YESU ALISHIRIKI LUNCH BOX YA HEBRON PAMOJA NAYE, NA BAADAYE AKAONDOKA NA KUMWACHA.
HAYA YOTE YESU ALIKUWA ANAFANYA ILI KUMTIA HEBRON MOYO, ILI AWEZE KUMWELEWA YESU NA YALE YOTE ALITAKA HEBRON AYAFANYE, KUMTUMIKIA YESU KUENEZA INJILI YAKE YA KWELI NA MENGINE AMBAYO NI YAKE MWENYEWE KWA UTUKUFU WA MUNGU.
BABOON AT LUNCH TIME
[ad_2]