SEMINA YA UKOMBOZI NA UPONYAJI

SEMINA YA UKOMBOZI NA UPONYAJI

[ad_1]


SEMINA YA UKOMBOZI NA UPONYAJI

MAHALI: 
KANISA LA YESU NI BWANA NA MWOKOZI WA MATAIFA YOTE – TAWI LA MBEZI.

MHUBIRI:
MTUME NA NABII HEBRON

SIKU:
TAREHE 20 JANUARY – 24 JANUARY 2016

MUDA:
KUANZIA SAA 9:30 ALASIRI HADI 12:00 JIONI

WENYE VIFUNGO, MAGONJWA NA SHIDA MBALIMBALI WATAOMBEWA NA KUPONA, NYOTA ZITAREJESHWA, NA MATENDO MAKUU YA MUNGU YATADHIHIRIKA.

WOTE MNAKARIBISHWA.

[ad_2]